ZanzibarLII

Karibu kwenye Taasisi ya Habari za Sheria Zanzibar

ZanzibarLII ni tovuti ya Mahakama ya Zanzibar inayochapisha maamuzi, Sheria na Kanuni kwa bure Mtandaoni. ZanzibarLII inatoa ufikiaji wa bure kwa sheria ya Zanzibar na ni mwanachama wa jumuiya ya LII ya Kiafrika.

ZanzibarLII imetengenezwa chini ya usimamizi wa Mahakama ya Zanzibar na inachapisha sheria ya Zanzibar kwa upatikanaji wa bure mtandaoni kwa wote. ZanzibarLII inakuza utawala wa sheria na upatikanaji wa haki Zanzibar.

africanlii-logo laws-logo zanzibar-judiciary-logo