Kuhusu ZanzibarLII

ZanzibarLII imetengenezwa chini ya usimamizi wa Mahakama ya Zanzibar na inachapisha sheria ya Zanzibar kwa upatikanaji wa bure mtandaoni kwa wote. ZanzibarLII inakuza utawala wa sheria na upatikanaji wa haki Zanzibar.

AfricanLII

AfricanLII ni sehemu ya Kitengo cha cha Utawala wa Kidemkrasia na Haki katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT), nchini Afrika Kusini. AfricanLII husaidia watu binafsi, mashirika, na serikali kujenga na kudumisha upatikanaji endelevu wa bila malipo wa tovuti za sheria, na kufikia watu wa Afrika na kwingineko.

Laws.Africa

Laws.Africa ni shirika lisilo la faida la Afrika Kusini ambalo huweka kidigitali taarifa za kisheria za Afrika kwa matumizi ya umma. Ufikiaji wazi wa taarifa za kisheria za kidijitali za Kiafrika husaidia jamii kustawi, biashara kufanikiwa, na maofisa wa mahakama na watumishi wa umma kutoa huduma kwa weledi na ufanisi.

Wasiliana nasi

Wasiliana nasi kwa info@zanzibarlii.org kwa maelezo zaidi.